HABARI

Rwanda yajitokeza kwenye nafasi ya nne barani  Afrika kwa kupambana na rushwa

Rwanda imepata nasafi ya nne barani Afrika kwa kupambana na rushwa kulingana na ripoti ya watangazaji wasio na mipaka.

Ripoti hii imeonyesha kwamba nchi nyingine ni Botswana,Cap-Vert,visiwa vya Mautitius na Namibia.

Rwanda imetimiza hili baada ya juhudi za kupamabana rushwa,jambo linaloifanya kujitokeza kwenye nafasi ya saba kulingana na ripoti ya ‘World Economic Forum’ baadhi ya nchi zenye usimamizi bora wa mali ulimwenguni.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top