Wafanyakazi Wilayani Rutsiro wamelalamikia kumaliza miezi miwili bila mshahara wa kila mwezi tangu Meyi 2019.

Wamesema hilo limeathiri mno maisha yao kiuchumi kutokana na mikopo ya benki na hata  hali ya familia zao imegeuka mbovu.

Mmoja wao ambaye amependekeza jina lake lifichwe amesema hawana imaani kuwa watapata mshahara wao.

“ Hilo lilisababishwa na bajeti. Litatatuliwa mwezi huu kwani watapata mshahara wa miezi miwili.” Amejibu Kiongozi wa Wilaya ya Rutsiro, Emerance Ayinkamiye

Hata hivyo, viongozi hawakutaka kueleza kwa mapana na marefu husika na suala hilo.

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.