kwamamaza 7

Rwanda: Serikali ina deni la Frw miliyoni 400

0

Waziri wa Miundo mbinu, Amb. Claver Gatete  ametangaza serikali imechukua hatua ya suala la deni Frw miliyoni 400 ili kuwalipa fidia raia waliopoteza mali zao wakati wa ujenzi wa miundo mbinu hasa barabara.

Wananchi hulalamika mala nyingi juu ya serikali kuwalipa fidia.

Waziri Gatete amewambia wabunge kwamba tatizo hili linasababishwa na mambo mbalimbali.

“  Kuna wananchi wasio na vyeti vya ardhi, akaunti za benki, suala la teknolojia, kutoelewana katika familia n.k.”

Hata hivyo, Gatete amesema serikali imeisha lipa asilimia 90%. “Tutafanya lolote kutoa suluhisho kwa hili suala milele.”

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.