Seneta na  mtalaam wa siasa nchini Rwanda, Tito Rutaremara amewaunga mkono waschana wanaovaa nguo fupi kwa kuonyesha miguu yao.

Rutaremara ameambia RBA kwamba hakuna tatizo la jambo hili kama waschana wanamiliki miguu mizuri.

“ Mimi si Moraliste. Kinachomzuia ni ni kama ana miguu mizuri na anataweza kuwaonyesha watu wakawa na furaha?” akauliza mtangazaji

“ Zamani za kale watu walikuwa wakivaa matiti kwa waschana yakionekana, hili si kinyume na utamaduni.” Awajibu wanaodhani kwamba kuva mavazi mafupi kwa wanawake ni mwiko.

Rutaremara amesisitiza mwanamke akifanya hilo huwa anapinga utamaduni ulioletwa na mapadri.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.