HABARI MPYA

Rwanda na Zambia zafikia makubaliano ya Ushirikiano

Kwa mjibu wa habari zilizotangwaza kwenye ukurasa wa twitter wa waziri wa mambo ya nchi Bi. Louise Mushikiwabo na hata Ofisi ya Jamhuri wote kupitia taarifa zilizochapishwa kwenye mtandao wa twitter ni kwamba nchi hizi mbili zimefikia makubaliano ya ushirikiano wa moja kwa moja.

 

Makubaliano hayo yanajuimwisha, kwa mujibu wa waziri wa mambo ya nje ya nchi Louise Mushikiwabo, ushirikiano wa kuimarisha Nyanja mbalimbali ikiwemo: Biashara, Kilimo, Jeshi, Safari za ndege, Kupunguza umaskini nakadhalika

Makubaliano haya ni matunda ya ziara ya kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili ambayo rais Kagame alianza siku ya Jana tarehe 19/Juni 2017 kuitika mwaliko wa mwenzake rais wa Zambia Edguar.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top