BIASHARA

Rwanda na Umoja wa falme za kiarabu watia saini mkataba wa ushirikiano

Rwanda na Umoja wa falme za kiarabu wametia saini kwenye mkataba wa uwekezaji na kodi.

Rais Kagame na kiongozi kwa upande wa Warabu

Mkataba huu umtetiliwa saini kati kwa upande wa Rwanda na Kiongozi makamu wa Ofisi kuu ya Maendeleo,RDB Emmanuel Hategeka.

Mkataba huu unalenga kukuza uwekezaji na kuzuia kulipa kodi mala mbili kama kulingana na taarifa za RBA.

Mkataba huu umetiliwa saini wakati ambapo kuna kikao mjini Dubai kati ya marais wa Afrika husika na uchumi kati ya Afrika na Dubai.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top