Connect with us

HABARI

Rwanda na Uganda wagoma kukaribisha wanaofukuzwa Israel kimabavu

Published

on

Mmoja mwa viongozi wa serikali ya Israel asiyetajwa majina ametangaza kwamba Rwanda pamoja na Uganda wamegoma kukaribisha wakimbizi wanaofukuzwa nchini Israel kimabavu.

Wakimbizi wakiandamana kutokuja nchini Rwanda ama Uganda

Haya yametangazwa  wakati ambapo taarifa kutoka Haaretz,zinaeleza kwamba waziri wa usalama,Arye Dery jumaa pili hii atafafanua sheria husika na uraia wa Israel.

Sheria hizi zinasema kuwa yeyote atakaye kataa kutoka nchini Israel atafungwa mfa usiojulikana angalau  miezi miwili kama alivyosisitiza kiongozi mkuu wa mahakama kuu nchini, Miriam Naor.

Walipofungwa wakimbizi

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *