HABARI MPYA

Rwanda na Nigeria wamekubaliana maendeleo ya teknolojia

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame alipokea kundi kutoka Nigeria ambalo liliongozwa na waziri wa mawasiliano Adebayo Abdul Raheem Shittu.

Katika ziara yao hapa Rwanda, tangu juma tanu walitembelea wizara ya vijana na teknolojia  (MYICT), kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya watusi ya Kigali, wanaofanya biashara ya 4G, Korea Talecom, kabla ya kumufikia rais wa Jamhuri.

niger1

Waziri  Shittu aliwaambia wana habari wa Rwanda kuwa hata kama nchi ya Rwanda ni ndogo sana, watafaidika mengi kwa sababu imesonga mbele sana ukilinganisha na Nigeria.

Waziri Jean Philbert Nsengimana, amesema kuwa Rwanda na Nigeria wamekubaliana kuunda muungano na kuwa na uhusiano wa biashara.

niger3

Nchi hizi mbili zina uhusiano mwema, hata wanigeria wako na benki hapa Rwanda, pia wana kampuni za biashara, na ndege ya RwandaAir kila juma huenda Nigeria.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top