kwamamaza 7

Rwanda: Mpinzani ahojiwa na polisi muda wa masaa manne

0

Mpinzani na mwenyekiti wa chama FDU-Inkingi nchini Rwanda, Ingabire Victoire Jumanne alihojiwa na polisi nchini humo wakati wa masaa manne.

Polisi walikuwa wakimuuliza kuhusu madai kwamba alinena maneno ya ubaguzi katika mkutano alioongoza kinyume na sheria.

Taarifa zilienea kwamba katika mkutano huo, wikendi iliyopita, Ingabire alisema kwamba hapendi Watutsi.

Pengine, alikanusha madai hayo kwa kusema ni kumpaka masizi.

Msemaji wa Ofisi Kuu ya Uendeshamashtaka (RIB), Modeste Mbabazi amekubali Ingabire alihojiwa.

Polisi ya Rwanda imeleza upelelezi unaendelea  kuhusu mkutano huo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.