kwamamaza 7

Rwanda kutangaza kuhusu madai ya aliyekuwa kiongozi wa walinzi wa Rais Kagame

0

Mahakama ya rufaa nchini Rwanda imetangaza itaweka wazi ilichokiona anapofungiwa aliyekuwa kiongozi wa walinzi wa Rais Kagame, Kanali Tom Byabagamba.

Alipokuwa mahakamani mwishoni mwezi uliopita, Byabagamba alisema kuwa anafungwa kinyume na sheria katika karantini.

Kwa hiyo, mahakama ilitangaza itafanya upelelezi juu ya madai yake.

Kwa hilo, mahakama imefanya upelelezi wake lakini haikutangaza matokeo. Imesema itatangaza mengi zaidi husika tarehe  13 Juni 2019.

Kanali Byabagamba alifungwa juu ya mashtaka ya kuhatarisha usalama wa nchi, kudharau bendera la nchi na mengine.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.