HABARI MPYA

Rwanda haijali mahakama ya kimataifa,ICC-waziri Mushikiwabo

Waziri wa mambao ya nje kwa Rwanda,Louise Mushikiwabo ameweka wazi kuwa Rwanda haijali mahakama ya kimataifa,ICC kwa kuwa inaegamia upande mmoja.

Kwenye sherehe ya kuanzisha TV5 Monde Afrique nchini Rwanda jana, kupitiaukuta wa twitter yake amesema kuwa Rwanda haikubali mkataba wa Roma ulioanzisha mahakama hii isiyofanya kazi yake kwa kuegamia kisiasa.

Mushikiwabo amendelea kwa kusema kuwa ICC ilihukumia watu ambao hawakustahili kuhukumiwa na kuacha wale ambao wanastahili kusimama kizimbani.

Pamoja na haya Rais Kagame kupitia hotuba zake alikosoa mala nyingi mahakama hii kuwa inaegamia upande wa kuhukumu wanafrika tu naa kukumbusha kuwa Rwanda haikutia saini mkataba wa Roma.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top