kwamamaza 7

Rwanda: Bei ya mafuta yaongezeka

0

Rwanda imetngaza kuwa bei ya mafuta imeongezeka Frw 73.

Kupitia tangazo, serikali imesema bei ya mafuta itakuwa Frw 1,096 mjini Kigali kutoka Frw 1,023 kwa lita moja.

Dizeli imetoka Frw 1,039 kwa  Frw 1,091

Hayo, kulingana na tangazo, ni kulingana na bei ya petroli kwenye soko la kimataifa.

Hata hivyo, serikali haikutangaza haya yatathiri bei ya usafirishaji

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.