HABARI MPYA

Rwanda baadhi ya nchi zinazowania uongozi wa EALA

Rwanda,Burundi pamoja na Tanzania  ni baadhi ya nchi zitazowania kuongoza bunge la muungano wa Afrika Mashariki(EALA) leo mjini Arusha,Tanzania.

Mgombea wake Rwanda ni Martin Ngoga ambaye alirudisha nyuma ombi la kwakilisha nchi yake jumamosi.

Afisa kwa wajibu wa mawasiliano kwenye EALA,Bobi Odiko ametangazia The New Times kuwa Martin Ngoga alifanya hili kwa kurudisha hati.

Wagombea wengine ni Leontine Nzeyimana wa Burundi na Adam Kimbisa wa Tanzania.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top