kwamamaza 7

Rwanda: Auawa kwa kulinda Frw elfu 30

0

Rushigajiki Gasana, ambaye alikuwa mlinzi wa klezia ya wa Pentekosti Wilayani Nyanza, Kusini mwa Rwanda ameuawa kwa vyuma.

Mtume Herinka Faustin, Mkurugenzi wa Parokia ya Nyanza amesema mwili wa malehemu wameuona asubuhi.

Amesema kumeibiwa tarakirishi mbili na Frw elfu 30.

Msemaji wa Ofisi Kuu nchini Rwanda, Modeste Mbabazi amesema kumeanzishwa upelelezi kwa kesi hii kutambua waliomuuua Gasana.

Wananchi wametoa maoni inapaswa mahali kunakohifadhiwa fedha kulindwe na watu wenye bunduki ili hili lisitokee tena.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.