kwamamaza 7

Rwamagana:Viongozi wa chama cha ushilika ,SACCO washtakiwa kuwa chanzo cha hasara

0

Washiriki wa vyama vya ushirika viwili katika tarafa ya Kigabiro wanashtaki viongozi wa chama cha ushilika kwa jina la SACCO cha tarafa ya Kigabiro kuwaletea hasara.

Washiriki wanasema kuwa walipata hasara kutokana na kuwa viongozi hawatumiwi vifaa vya teknolojia walivyonunua frw milyoni 10 kupitia deni la BDF.

[xyz-ihs snippet=”google”]

 Washiriki wa chama cha ushilika cha vijana kwa jina  CITSEC wameleza kuwa viongozi wa SACCO walitaka kuharibu mkataba wa kuwa kila upande utakuwa ukipata 50% na kuwa chama cha ushilika  kingine kwa jina SEMTIC kiliamua kujiondoakwenye mkataba huu.

Afisa wa BDF wilaya ya Rwamagana,Peace Uwera amesema kuwa SACCO haikuwa makini kwa watu iliwopatia deni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Afisa wa SACCO/Kigabiro kwa wajibu wa kutoa mkopo,Innocent Habimana amefafanua kuwa suala hili haina budi kuulizwa mkurugenzi wa SACCO.

Diwani makamu  wa Rwamagana kwa wajibu wa uchumi na maendeleo,Regis Mudaheranwa ametangazia Bwiza.com kuwa wameisha anzisha baraza la kufanya ufuatiliaji wa jambo hili.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.