HABARI

Rwamagana:Miaka nenda rudi wakisubiri fidia ya mazao yao yaliyoharibika

Wakazi wa tarafa ya Munyiginya,Mwurire na Rubona wameweka wazi kumaliza miaka saba wakisubiri fidia ya mali yao iliyoharibika wakati wa kujenga mradi wa umeme.

Wakazi wametangazia Bwiza.com kuwa kazi za mradi huu ziliharibu mazao yao kama vile mtama,migomba na mengine kadhalika.

Mmoja wao ambaye ni mkazi wa tarafa aya Mwurire ameleza kuwa viongozi waliwataka kufungua akaunti kwenye benki ila walisubiri fedha zao wakakosa.

Huyu amendelea akisema kuwa viongozi huwambia kuwa suala hili karibu kutatuliwa mala nyingi wanapowauliza.

Kiongozi wa Ofisi kuu ya huduma za Umeme nchini(EUCL) idara ya Rwamagana ameleza kuwa wanajua suala hili na kuwa wamefanya maandalizi yote ili kulipa fedha hizi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top