HABARI

Rusizi:Wakazi washukuru Rais Kagame kwa kupata barabara mpya ya Rusizi-Karongi-Rubavu

Wakazi wa wilaya za Rusizi,Rubavu na Karongi,magharibi mwa nchi wameshukuru Rais Kagame kwa kuwapatia barabara la Rusizi-Karongi-Rubavu imbayo itasaidia uchumi.

Wakazi wameleza kwamba barabara hii yenye ulefu wa km 265.7 utarahisisha mawasiliano kati yao.

Mmoja wao,Abdou ameleza kuwa hana maneno ya kutumia kwa kumshukuru rais kwa jambo alilowafanyia.

 

Sikutarajia kuwa jambo hili litawezekana maishani mwangu” Abdou amenena

Viongozi wa wilaya za Rusizi na Nyamasheke wametangaza kuwa wameishaona mabadiliko ya kimaendeleo kutoka barabara hii.

Pamoja na haya,kwenye ziara yake katika mkoa wa magharibi waziri wa utawala wa nchi,Francis Kaboneka aliwataka viongozi kutumia vizuri barabara hii mpya na kulinda miundo mbinu kwa ujumla.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top