HABARI MPYA

Rusizi:Wakazi waishtaki ofisi  kuu ya utangazaji kuwapokonya ardhi yao kinyume na sheria

Wakazi 13  wa wakazi wa Rusizi,magharibi mwa Rwanda wametangaza kuwa Ofisi kuu  ya utangazaji iliwapokonya ardhi yao kwa kuijengea  mnara na kutowalipa kodi tangu mwaka 1982.

 Wakazi wameleza kuwa ardhi yenye m2 2493 katika kijiji cha Rwamuhirwa iligeuka mali ya ORINFOR inayojulikana kama RBA siku hizi.

Upande wa viongozi wa wilaya wameleza kuwa wakazi hawa walipokea fedha hizi madai ambayo wakazi wamekana mno.

Ofisi kuu ya utangazaji,RBA kupitia kiongozi wake kwa wajibu wa usimamizi  wa bajeti,Faustin Mukurarinda ameleza kuwa ardhi hii ni mali ya RBA kwa kuwa wanamiliki hati rasmi za ardhi hii.

Pamoja na haya wakazi wameleza kwamba hawana hati rasmi za ardhi hii.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Jean Ntezimana

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top