HABARI

Rusizi:Maabara yanzishwa rasmi baada ya miaka 10 ikisubiriwa

Viongozi wa shule la sekondali la Gishoma,tarafa ya Rwimbogo wameanzisha maabara waliyokuwa wakisubiri wakati wa miaka 10

Wanafunzi wa shule la sekondali la Gishoma wakiwa maabarani

Diwani makamu kwa wajibu wa mambo ya kijamii wa wilaya ya Rusizi Bw Emmanuel Nsigaye amehoji kwamba maabara hii ilichelewa kwani mwekezaji hakutimiza sheria na masharti ya mkataba.

Kwa upande wa wanafunzi wamesema kwamba maabara hii itawasaaidia kutia kivitendo wanayoyasoma kinadharia hasa wanaosoma biolgia,kemizia na fizikisia.

Mkurugenzi wa shule la Gishoma,Anaclet Mwitaba ameongeza kuwa maabara itawasaidia sana kuhifadhi vifaa na kuboresha elimu ya wanafunzi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top