HABARI

Rusizi:Kijana yatuhumiwa kumuua mama yake na kumjeruhi baba

Mwendesha mashtaka amemshtaki wiki hii Egide Habiyaremye, 27, mkazi wa kijiji cha Cyingwa,tarafa ya Gitambi anayetuhumiwa kumuua mama yake na kumjeruhi baba yake.

Mtuhumiwa anadaiwa kumuua mama mzazi wake, Marcelline Kamunazi,62  kwa kumpiga jembe kukuu na kumjeruhi mno baba yake,Paul Karuhije,83, tarehe 13 Agosti 2017 baada ya kugombana na ye.

Egide Habiyambere anakubali kuwa alikuwa na mpango wa kuua wazazi wake kwa kuwa walikuwa wachawi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top