HABARI

Rusizi:Dereva apandishwa kizimbani kwa kutuhumiwa kumchoma mtoto

Dereva kwa jina la Jean Claude Ngabonziza jana amesimama kizimbani kwa kutuhumiwa kumchoma mtoto wa miaka sita kwa kutumia sehemu ya gari inayotoa moshi tarehe 9 Novemba 2017 kijiji cha Gatare,kusini magharibi mwa nchi.

Dereva huyu na msaidizi wake Shubara aliyetoroka walimkamata mtoto huyu aliyelipanda gari lao na kumchoma kwenye kichwa na shingo upande wa nyuma.

Mtoto huyu ni mgonjwa kwenye hospitali ya Mibirizi.

Mwendesha mashtaka amesema kuwa dereva huu unadhibiwa kufungwa jela miaka mitano pamoja na faini ya frw kuanzia milyoni moja hadi miliyoni tatu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top