HABARI MPYA

Rubavu:Michezo yasaidia kupambana na dawa za kulevya kwa vijana

Baadhi ya vijana waliokuwa wakitumia madawa ya kulevya wametangazia Bwiza.com kwamba michezo iliwasaidia kuacha matumizi ya dawa za kulevya,jambo lililowasaidia mno kuendelea na masomo na kazi zao za maisha ya kila siku.

Mmoja wao Elissa Duhimbazimana,18, amesema kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya ila alipoanza kuchezea mpira timu ya Vision Jeneusse Nouvelle ilimsaidia kurudi shuleni na kuweza kuhifadhi fedha.

Kochi wake,Aeron Tuyiringire amesema kwamba ilibidi kufundisha vijana hawa ubaya wa dawa za kulevya.

Mkurugenzi makamu wa timu ya hii,Paulin Kabayiza ameleza kuwa lengo la kuanzisha timu hii mwaka 2002 ni kuwasaidia vijana kujilinda dawa za kulevya.

Baadhi ya michezo inayosidia viajana hawa kuna Karate,Taekondo,Beach Hand ball na nyingine.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top