HABARI

Rubavu:Maisha kama mlima,diwani makamu ageuka mwalimu

Maisha kama mlima wahenga walisema,methali hii inamhusu Rachel Rusine Nyirasafari aliyewahi kuwa diwani makamu wa wilaya ya Rubavu kwa wajibu ya mambo ya kijamii baada ya kugeuka mwalimu kwenye shule ya msingi kwa jina’Bon Belge”.

Rachel Rusine Nyorasafari aliyekuwa Diwani makamu kisha akageuka mwalimu

Akizungumza na Bwiza.com Nyirasafari ameleza kuwa hana aibu ya kufundisha kwenye shule ya msingi baada yake kuwa diwani makamu wakati wa miaka sita.

Amewashauri viongozi wengine wanaotoka madarakani kutofikiri kuwa huo ndio mwisho kwa kuwa Fulani anaweza kufanya kazi nyingine isiyo au yenye  cheo juu ya kile cha ya kale.

Mwalimu mkuu huyu aliondoka madarakani kama diwani mwaka 2015, kisha akanza kufundisha kwenye shule la msingi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top