kwamamaza 7

Rubavu: Mwanamume amuua mkewe kwa kumpiga shoka

0

Mwanamume kwa majina ya  Jean Pierre Kanyamihigo ambaye ni mkazi wa kijiji cha Kabunoni wilayani Rubavu,magharibi mwa Rwanda amemuua mkewe  kwa kutumia shoka kisha akatoroka.

 Pia huyu mwanamume kwa kutumia chuma amempiga mwanawe kichani na kumuacha hapoakidai kwamba amefariki

Mwanamume aaliyemuua mkewe na kumjeruhi mmtoto wake/ Hisani

Katibu Mtendaji wa  tarafa ya Mudende, Jean Bosco Tuyishime amehakikisha hizi taarifa kwa kusema”

“Amemuua kwa  kwa kutumia shoka na kumtema mtoto wake kwa kuficha habari kisha akatoroka”

 Huyu kiongozi ameongeza mauaji haya yametokana na kuwa kulikuwa ugomvi katika hii familia.

“Walikuwa wakigombana mala nyingi,tuliwatembelea wiki iliyopita na kuwashauri kuhusu hili”

Kwa sasa, wanausalama wanamtafuta mhalifu na mtoto amepelekwa hospitali ya Gisenyi kwa matibabu.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.