kwamamaza 7

Rubavu: Afisa akamatwa  juu ya kuruhusu biashara ya maziwa nchini DR Congo

0

Afisa kwa Wajibu wa Ufugaji Wilayani Rubavu, Kalisa Robert amekamatwa na Ofisi Kuu ya Uendeshamashtaka Nchini (RIB) juu ya kuruhusu biashara ya maziwa nchini DR Congo.

Wakazi walimuambia Rais Kagame aliyekuwa katika ziara yake ya kazi wiki iliyopita kwamba wamekuwa katika njia panda kuhusu biashara ya maziwa nchini DR Congo.

“ Tumemfunga kwa kuwa alitumia nafasi ya uongozi kujitajirisha. Alikuwa akiwaomba fedha wafanyabiashara ili waweze kuuza maziwa nchini DR Congo. Aliwakataza kufanya biashara hii waliomnyima fedha.” ameambia vyombo vya habari msemaji wa RIB, Modeste Mbabazi

Kulingana na sheria, uhalifu huu unadhibiwa kufungwa jela miaka  isiyo chini ya tano na isiyo juu ya kumi pamoja  na faini ya Frw miliyoni tano, zisizozidi kumi

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.