kwamamaza 7

Ripoti mpya:Wanajeshi wa Rwanda na wa DR Congo walifanya kosa la kuvuka mpaka

0

Ripoti mpya ya ICGLR imeweka wazi kwamba pande zote mbili yaani wanajeshi wa Rwanda(RDF) na wa DR Congo(FARDC) zilifanya kosa la kuvuka mpaka,jambo lililosababisha vifo vya wanajeshi wa Congo watatu tarehe 13 Februari 2018 eneo la Birunga.

Ripoti hii ambayo itawasilishwa nchi hizi mbili inaeleza kwamba wanajeshi wa Rwanda walivuka mpaka eneo la Mikeno na Sabyinyo na kuwa FARDC ilishambulia Rwanda hadi wilayani Musanze nchini Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa FARDC wanaomba ICGLR kufanya upelelezi husika na vifo vya wanajeshi wake kwa kueleza kwamba hawa waliuawa baada ya kuteswa kimwili kama inavyotangazwa na Okapi.

Ripoti hii imehakikisha kuwa marais wa nchi hizi watakutana siku za usoni.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.