HABARI MPYA

Rais wa Estonia atua nchini Rwanda kwa ziara yake ya kazi

Rais wa Estonia,Kersti Kajulaid amefika nchini Rwanda jana kwenye ziara ya kazi barani Afrika baada ya kutembelea nchi ya Ethiopia.

Rasi Kajulaid amekaribishwa na Rais Kagame ikuluni Village Urugwiro.

Msimamizi wa faida za Estonia nchini Kenya,Kadri Humal-Ayal ametangazia The New Times kwamba Rais Kajulaid ametimiza mwaka mmoja na wiki mbili madarakani na kwa hiyo Estonia inalenga kupanua ushirikiano na nchi nyingine kama kawaida.

Rais Kajulaid,48, ni mwanamke wa kwanza wa kwanza aliyechaguliwa urais wa Estonia,nchi iyoko kaskazini barani Ulaya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top