Connect with us

HABARI MPYA

Rais Paul Kagame ateua serikali mpya

Published

on

Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Rwanda,makala 116 Rais Kagame baada ya kumteua waziri mkuu,Dr.Edouard Ngirente, amewateua wengine watakongoza kwenye mamlaka ya miaka saba.

Rais Kagame ameteua serikali yenye mawaziri 20 na katibu hali 10 na viongozi 17 mbali mbali ambao wana cheo kama kile cha mawaziri.

Kwa ujumla,serikali haikubadilika sana lakini  kwa upande wa mawaziri wanawake ndio ambao wanaongoza wiazara nyingi 11

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *