kwamamaza 7

Rais Paul Kagame alaumu matendo ya Arsenal mwaka huu

0

Rais Paul Kagame amelaumu vitendo vya Timu  ya Arsenal  nchini Uingereza katika michuano ya mwaka huu.

Rais Kagame kupitia twitter, ameandika kunahitajika mabadiliko katika timu ya Arsenal na kuwa kunahitajika zile sifa zake za zamani

“Ni ukweli,kunahitajika mabadiliko katika Arsenal lakini yaliyotokea hayahitajiki.Bahati kwa yeyote husika.Tunahitaji sifa za Arsenal kama zile za kale ”

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Maoni yangu kwa timu ninayopenda Arsenal ni kwamba inacheza vizuri na kuwa ina kochi gwiji kama Arsene Wenger,haistahili kumaliza mwaka namna hii ” Kagame ameongeza

Rais Kagame amesisitiza ataendelea kuwa mmoja mwa  mashabiki wa Arsenal hata kama vikosi vilikosekana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameandika haya baada ya Atletico Madrid kuinyuka  Arsenal goli moja kwa nunge kwenye machi ya nusu fainali ya michuano ya  Europa League.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.