HABARI MPYA

Rais Kagame na mke wake kwenye sherehe ya kuwapokea zaidi ya wanadiplomasia 60-PICHA

Juma tatu rais Kagame na mke wake waliwapokea wanadiplomasia zaidi 60 wenye kuwakilishi nchi zao hapa Rwanda na wenye kuwa na vikao mahali pengine.

Sherehe hio ilifanyika pa Kigali Convention Centre, rais Kagame aliwashukuru hao wanadiplomasia wote kwa ajili ya uhusiano mwema na nchi ambazo wanaakilishi, kimaendeleo na kibiashara.

kagame1 kagame2 kagame3 kagame4 kagame5 kagame6 kagame7 kagame8 kagame9 kagame10 kagame11 kagame12 kagame13

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top