HABARI MPYA

Rais Kagame kuwapongeza kwa mala ya kwanza mashujaa tisa wa taifa

Kunatarajiwa kuwa Rais Kagame atatoa zawadi ya pete kwa jina ‘Igihango’ yaani mkataba wa damu tarehe 18 Novemba mwaka 2017 kwa mala ya kwanza na kuwashukuru watu tisa  kwa mema waliyotendea nchi.

Waziri wa utamaduni na michezo wa Rwanda,Julienne Uwacu ameleza kuwa pete hii hupatiwa watu,kundi la watu ama mashirika waliofanya vitendo vya mashujaa kati ya nchi na nje.

Kwenye sherehe  hii kutatolewa pete za ushujaa kama vile ushujaa wa heshima,wa kazi,wa utamaduni na wa ushujaa wa kujitoa mhanga.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top