HABARI MPYA

Rais Kagame awasili Zambia katika ziara ya Siku mbili- Picha

Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame amefika mjini Lusaka, Zambia ambako alipokewa kwa shangwe katika ziara ya siku mbili. Ziara hii ni mwaliko wa mwenzake Edguar Lungu wa Zambia

Ziara hii ya Rais Kagame inafuatia nyingine ya 2016. Marais hawa wanatarajiwa kuwa na majadiriano ya hususani kuboresha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top