kwamamaza 7

Rais kagame auaga mwili wa Etienne Tshisekedi

0

Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameuaga mwili wa malehemu Etienne Tshisekdi wa Mulumba aliyefariki mwezi Julai 2017.

Haikuwezekana kumzika baada ya kifo chake kutokana na utawala wa Joseph Kabila nchini DRC.

Hata hivyo, baada ya mtoto wake, Felix Tshisekedi kukaa madarakani, aliamua baba yake azikwe nchini humo.

Etienne Tshisekedi alizaliwa mwaka 1932. Alijulikana sana katika chama cha Union for Democracy and Social Progress (UDPS).

Aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu mala tatu. Alikuwa mkatoliki wa dhati.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.