kwamamaza 7

Rais Kagame atua nchini Nigeria

0

Rais wa Rwanda ametua nchini Nigeria kwenye ziara ya kikazi ya siku mbili.

Inatarajiwa kuwa atatoa hotuba kwenye sikukuu ya kupambana na rushwa na kuimarisha demokrasia.

Kwa mujibu wa ukuta wa twitter wa Ikulu, Kagame atakuwa na mwenzake, Buhari Mahammadu Buhari wa Nigeria.

Siku mbili zilizopita, Kagame alikuwa nchini Gabon kwa kumsalimu Rais Omar Bongo Ondimba aliyekuwa akiugua siku zilizopita.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.