kwamamaza 7

Rais Kagame atua nchini DRC

0

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo atahudhuria mazishi ya Etienne Tshisekedi wa Mulumba.

Kupitia ukuta wa Twitter wa Ikulu ya Rwanda, inatarajiwa kwamba  Rais Kagame atazungumza na mwenzake, Tshisekedi.

Etienne Tshisekedi ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu alifariki miaka miwili iliyopita. Inatarajiwa kwamba atazikwa kesho kutwa.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.