Connect with us

HABARI

Rais Kagame athibitisha kupambana na maovu ya ghasia gulugulu zilizoko Congo

Published

on

Rais Paul Kagame ameweka wazi kwamba Rwanda ingali tayali kupambana na matokeo ya vuguvugu zilizoko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinazosababishwa na kutoelewana kati ya serikali na wapinzani kuhusu uchaguzi.

Akizungmza na The financial Times,rais Paul Kagame amefafanua kwamba Rwanda kuna uwezo wa kusaidia wakazi wa Congo wakati ambapo wamekimbia nchi yao kwa kusema”Nafikiri kuwa hili silo jambo  jema,tunaweza kulishughulikia,tunatarajia watu miliyoni mbili kuvuka mipaka(…).

Rais Kagame ameongeza kuwa tatizo la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linawahusu majirani wake wote 9 na kuwa lililokuwa likimusumbuwa sana ni wakati ambapo fujo lingelizuka bila Rwanda kuwa tayali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *