kwamamaza 7

Rais Kagame asimama kijijini ghafla

0

Rais Paul Kagame asimama kijini Nyamata, kusini mjini Kigali na kuwasalimu wakazi waliokuwa barabarani.

Rais Kagame aliyekuwa akitoka Wilayani Bugesera amesimama kijijini humo na kuzungumza watu wengi waliokuwepo.

Kwa mjibu wa ukuta wa twitter wa Ikulu ya Rwanda, wakazi walikuwa na furaha na shangwe kumuona Kagame uso kwa uso na baadhi yao kumpa mkono.

Kwa kawaida,  Rais Kagame husimama dakika chache lakini huko Nyamata amesimama dakika 15.

Wakazi wamebaki na furaha nyingi baada ya kuondoka kwake Rais.

Ni nadra Kagame kufanya hili, pia. Alisimama na kuwasalimu wakazi wa kaskazini magaharibi alipokuwa katika ziara ya kikazi mkoa kasikazini.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.