kwamamaza 7

Rais Kagame apewa jezi ya Paul Pogba

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame amepewa jezi nambari sita mgongoni ya mchezaji, Paul Pogba.

Kagame ambaye angali nchini Ufaransa kwenye ziara yake ya kikazi amepewa jezi ya Pogaba ambaye ni mchezaji wa  Manchester United nchini Uingereza na ni mchezaji wa kati wa timu ya taifa ya Ufaransa, Les Bleus.

Pia Kagame amewahamasisha wawekezaji kuleta mali yao nchini Rwanda.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.