HABARI MPYA

Rais Kagame aomba viongozi mpya kufanya mabadiliko

Rais Kagame ameomba viongozi mpya kufanya kazi kwa bidii ili kuonyesha mabadiliko mbali mbali katika wajibu zao.

Mawaziri mpya wakikula kiapo

Rais Kagame ameleza kwamba Rwanda ina matatizo mengi yanayohitaji nguvu nyingi kutatuliwa kwa hiyo inabidi kiongozi mpya kutumia bidii kwa kujiepusha na uvivu.

Amesema”Kwa kutatua matatizo yetu  haina budi kufanya kazi kwa ukakamavu”.Amendelea kwa kusema kuwa viongozi wanalazimishwa kufanya kazi kama ilivyo ili kutimiza jukumu zao kwa Wanyarwanda bila kulegeza.

Pamoja na hayo,Rais Paul Kagame ameongeza kwama yeye haelewi namna ambavyo mawaziri wanashindwa kupatana wala kuwasiliana.

Hatimaye rais Kagame amesisitiza kuwa wizara ya afya, ya elimu, ya haki na wizara ya kilimo na ufugaji zinapaswa kufanya juu chini ili mabadiliko yapatike.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top