HABARI MPYA

Rais Kagame alipokelewa na shangwe kubwa India- TAZAMA PICHA

Rais wa Jamhuri ya Rwanda yupo kwenye ziyara ya kazi nchini India kwenye mkutano wa kimataifa ya mara ya nane kuhusu uchumi, na alienda huko kwa ajili ya mwaliko wa waziri mkuu wa India, Narendra Modi tangu tarehe 9 hadi 12 2017.

Na inatarajiwa kuwa wote wawili watakua na maongezi wakiwa katika mji wa mangaribi mwa India na mahali hapo ndipo rais Kagame kapokelewa.

kagame7 kagame kagame1 kagame2 kagame3 kagame4 kagame5 kagame6

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top