HABARI MPYA

Rais Kagame ahudhuria sherehe ya kuapishwa kwake Rais Uhuru Kenyatta

Rais wa Jamhuri ya Rwanda,Paul Kagame amehudhuria sherehe ya kula kiapo kwa rais aliyeshinda uchaguzi wa rais nchini Kenya,Uhuru Kenyatta.

Taarifa za RBA zinasema kwamba rais na wakuu wa serikali mbalimbali 11 watahudhuria sherehe hii leo tarehe 29 Novemba 2017.

Pia nchi nyingine kumi 13 zimewatuma wakilishi wake.

Rais wote wa muungano wa Afrika Mashariki watahudhuria sherehe hii isipokuwa Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza ambaye atawakilishwa na Rais makamu wake Gaston Sindimo.

Uhuru Kenyata alishinda uchaguzi mala ya pili baada ya ushindi wake wa kwanza kufuatiliwa mbali na mahakama kuu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top