kwamamaza 7

Rais Kagame afunguka kuhusu atakayeshika mikoba yake

0

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefunguka kuhusu suala la mtu atakaye kuwa rais wa nchi siku za usoni.

Rais Kagame amesema hawezi kutayarisha atakayeongoza nchi na kwa kuwa atajitayarisha mwenyewe.

“ Cha muhimu kwangu si kumtayarisha atakayekuwa rais, sitamuweka kwa hio nafasi, atajieleza mwenyewe.” Kagame amewambia wageni kutoka Shilika la ‘ Young Presidents Organisation Jumanne.

“ Ngali hapa kuungana mkono na Wanyarwanda kujenga nchi. Ukiwa na jambo unalolijenga, lazima kujali maendeleo na kudumu kwake.” Ameongeza

Rais Kagame mala nyingi hueleza kwamba atakayeshika mikoba yake atajitambua mwenyewe.

Anakuwa madarakani tangu mwaka 2001.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.