kwamamaza 7

Rais Kagame aeleza mwelekeo mpya wa ushirikiano na Ufaransa

0

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema ushirikiano kati ya Rwanda na Ufaransa haina budi kupata mwelekeo mpya.

Kwenye ziara yake ya kikazi nchini humo, Kagame amesema ushirikiano wan chi mbili unapaswa kutojengewa kwa yaliyopita.

“ Hatutaki kuishi katika yaliyopita. Tunatanga kuangalia siku zijazo kwa kulenga maendeleo yatu.” Kagame amesema

“ Leo ni bahati kwa Rwanda na Ufaransa kuungana mkono na kutatua masuala ya yaliyopita kwa upande mwingine na tukaendelea.” Ameongeza

Rais Kagame ameeleza kuna mambo yanayohitaji kubalika kama vile msaada.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.