HABARI MPYA

Rais awapandisha vyeo maafisa wa jeshi na polisi

Kufuatia katiba ya nchi,Rais Paul Kagame amewapandisha vyeo maafisa wa polisi na wa jeshi wakiwemo Fred Ibingira kutoka cheo cha Luteni Jenerali na kuwa Jenerali na Jacques Musemakweli kutoka cheo cha Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali.

Kulingana na tangazo la msemaji wa jeshi la Rwanda,Luteni Kanuni Innocent Munyengango linaonyesha kuwa wanajeshi 12 wapendishwa cheo cha kuwa Meja Jenerali na maafisa sita wapenda cheo cha kuwa Brig.Jenerali.

Kwa upande wa polisi makamishna makamu kumi wamepanda cheo cha kuwa makamishna.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top