kwamamaza 7

Raia mwingine wa Mageragera auliwa na mamba kwenye mto Nyabarongo

0

Mwanaume mwenye umri wa miaka kati ya 25 na 27 raia kutoka tarafa la Mageragere ameuawa na mamba leo asubuhi 12 Agosti, 2017 akiwa anachota maji.

Twagirimana Jean Pierre, ambaye alikuwa mke na mototo mmoja,  ameliwa na mamba wakati alipokuwa anachota maji mtoni Nyabarongo. Kifo chake kinakuja baada ya kile cha mwanamke aliyeuawa vilevile na mamba akiwa anachota maji kwenye mto huu mnamo mwezi uliopita.

Kwa mjibu wa katibu mtendaji wa kata la Kavumu, Nsengiyumva Fabien, amesema kuwa hufanya waliichukua mikakati ya kuwazuia wakazi wa wa eneo hili kutotumia maji hayo lakini raia walishindwa kabisa.

Vinara wa wilaya ya Nyarugenge wameeleza kuwa huenda maji safi akaenezwa katika eneo hili ili tatizo hili kutatuliwa japokuwa kuna raia  wangali wanachota mtoni humu kulingana na habari hii kutoka Igihe.com.

Ikiwa tatizo la ukosefu maji ndilo linalowafanya wananchi hawa kwenda kuchota maji kwenye mto Nyabarongo na kujitia hatarini kuuliwa na mamba hawa, viongozi wa wilaya wawashtumu wakazi wa eneo hili kutotumia maji safi yaliyoanza kusambazwa kwenye tarafa hili kupitia shirika la kusambaza maji la WASAC.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.