HABARI

Picha ya Mamba iliyowatesa wakaaji wa wilaya ya Bugesera

Mamba ni mmoja wa wanyama wakali wanoishi ndani ya maji ama mito mikubwa na huzoeya kuwararuwa watu ao wanyama wengine karubu ya maji ama wakiwa ndani ya maji.

Katika kikao cha makumbusho mjini Kigali karibu ya Gereza ijulikana kwa jina la 1930, kuna maiti ya mamba aliye wararuwa watu wengi katika wilaya ya Bugesera.

Baada ya kuua mamba huo, walikuta katika tumbo lake viatu na husema kuwa ni mtu ambaye aliuawa na mamba, ukitazama vizuri utaona chini ya picha ya mamba viatu vyeusi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top