kwamamaza 7

Picha: Mabingwa wa Arsenal watia hadharani jezi yenye ujumbe ‘Visit Rwanda’

0

Wachezaji bingwa wa timu ya Arsenal wakiwemo Robert Pires, Raymond Parlour , Alex Scot na  Danielle Carterwametia hadharani jezi itakayovaliwa na hii timu  ikicheza mechi kwenye viwanja vingine.

Hili ni baada ya wachezaji wakiwemo Mesut Özil, Alexandre Lacazette, Héctor Bellerín  kuonekana wakiva jezi zenye ujumbe wa ‘Visit Rwanda’

Mabingwa wa Arsenal wamefanya hili  baada ya Rwanda kusaini  mkataba wa ushirikiano miaka mitatu.

Robert Pires na Parlour wakivaa jezi yenye ujumbe ‘visit Rwanda’

Ikumbukwe kwamba watu wengi wakiwemo mabunge wa Uholanzi,Uingereza  walikosoa hili kwa kusema  Rwanda haistahili kusaini huu mkataba wa bei ya Euro miliyoni 30.

Mabingwa wa Arsenal wakivaa jezi za mechi ya ndani na ya nje

Baadhi ya mabingwa wa Arsenal wakionyesha jezi zenye ‘Visit Rwanda’

Kwa sasa,Rwanda haijatangaza bei ya huu mkataba unaolenga  maendeleo ya utalii.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.