BURURUDANI

Picha ambazo huonyesha mwana mitindo mke wa rais Donald Trump

Rais wa Marekani , Donald Trump anazidia mke wake Melania miaka 24

Melania ni wenye ukoo wa Slovenia bara la Ulaya, hata alionekana sana katika magazeti na utangazaji habari wakati wa zamani, hivi sasa yeye ni mke wa rais wa Marekani.

trump

Hata kama ni mke wa tajiri tena rais yeye alionekana kama mwana mitindo mahali pengi.

trump1

Melania alizaliwa mwaka wa 1970, alianza kuonyesha mitindo akiwa na miaka 16, kiisha akahamia katika mji wa New York, hapo hakujali hata kukamata picha akiwa uchi.

trump2

Alitembea katika miji ya Paris, Milan, New York akiwa pamoja na wapiga picha malumu, na hapo alizijua lugha kislovenia, kingereza, kifaransa, kiserbia na lugha ya kijermani.

trump3

Melania alikutana na Trump mara ya kwanza katika sherehe ya mitindo New York mwaka wa 1998 ikajulikana sana mwaka wa 1999, wakaunga ndoa mwaka wa 2005.

trump4 trump5

NEW YORK - MAY 04:  Melania Trump attends "The Model as Muse: Embodying Fashion" Costume Institute Gala at The Metropolitan Museum of Art on May 4, 2009 in New York City.  (Photo by Larry Busacca/Getty Images) *** Local Caption *** Melania Trump

Ni mke wa tatu wa Trump baada ya Ivana Zelníčková na Marla Maples.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top