kwamamaza 7

Orodha ya waimbaji watano kutoka Rwanda wenye nyimbo zinazosikika mala nyingi nchini Uganda

0

Kama nchi jirani Uganda inawasilisha  kazi za sanaa mbalimbali kutoka Rwanda hasa nyimbo.Mala hii Bwiza.com imeamua kuwajulisha orodha ya waimbaji wenye nyimbo zinazosikika mala nyingi nchini hii.

Kwa msaada wa fundi mitambo hodari nchini  Rwanda,Dj Adams kuna waimbaji ambao wanapaswa kujitokeza kwenye orodha hii.

  1. Charly na Nina

Bilashaka hawa waimbaji wawili wanapendwa nchini Uganda kutokana na kuwa kuna wimbo kwa jina la  Owoma ambao walimshirikisha mumbaji asili aya Uganda,Geosteady.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na hili,hawa waimbaji walionekana mala nyingi wakihudhuria sherehe mbaimbali nchini Uganda.

  1. Jody Phibi

Muyoboke Phibi maarufu kama Jody Phibi  Huyu ni muimbaji  wa mtindo wa Pop/R& B ambaye anakuwa mala nyingi nchini Uganda.

  1. Rickie Pius Dj Pius

Rickie Pius Rukabuza maarufu kama Dj Pius ni mmoja mwa waimbaji ambao aliwashirikisha waimbaji mbalimbali kutoka Uganda kama Dr.Jose Chameleone kwenye wimbo’Agatako’ na  nyingine ‘Wabulilawa’.

  1. Theo Bosebabireba

Theogene Uwiringiyimana kupitia nyimbo zake za injili na kutokana na jamii kubwa ya Wanyarwanda nchini Uganda anasikika mala nyingi kwenye redio za karibu na Rwanda hasa Radiyo Kigezi na Muhabura FM.

  1. Uncle Austin

Muimbaji Luwano Tosh maarufu kama Uncle Austin ambaye pia ana asili huko nchini Uganda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.