kwamamaza 7

Orodha ya mastaa ambao ni mashabiki wa APR FC nchini Rwanda

0

Timu ya APR ni moja mwa timu ambazo zina mashabiki wengi nchini Rwanda.Baadhi ya hawa mashabiki ni mastaa mbalimbali wa muziki nchini humo.

  1. Dan Nanone

Huyu mwanamziki wa Hip Hop alisema kuwa anaipenda timu ya APR nchini Rwanda na Barcelona nchini Uhispania.

  1. Teta Diana

Huyu muimbaji alitangaza kuwa alipenda timu hii ya jezi nyeusi na nyeupe kutokana na wachezaji kama Jimmy Gatete,Jimmy Mulisa na Olivier Karekezi kutokana na ugwiji wao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

  1. Edouce Softman

Huyu msaani alitangaza kuwa anaipenda timu ya APR kutokana na kuwa timu hii inacheza mpira safi kutokana na vijana wanaoichezea.

  1. Teta Sandra

Huyu mwanamitindo ambaye anajulikana kufungwa jela mala nyingi,alitangaza kuwa anaipenda timu ya APR na kuwa anaipenda timu ya Barcelona nchini Uhispania.

[xyz-ihs snippet=”google”]

  1. Fire Man

Huyu mwanamziki wa Hip Hop alitangaza anaipenda timu ya APR FC nchini Rwanda na Barcelona.

Hata hivyo,orodha ya mastaa ambao ni mashabiki wa timu ya APR FC ni wachache unapolinganisha na wale ambao ni mashabiki wa Rayon Sports.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.